ASSAs

CHINA YAITUHUMU MAREKANI KUTENGENEZA VIRUSI VYA CORONA

504
0
Share:

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa China Zhao Lijian amesema kuna wasiwasi kwa asilimia kubwa kuwa Marekani kupitia Jeshi lake ndio wahusika wakuu waliopandikiza corona China na kwamba ugonjwa huo haukuanzia eneo la Wuhan,China bali ulianzia Marekani.

(Visited 69 times, 1 visits today)
Share this post