ASSAs

SHUHUDIA VITU VIPYA KATIKA TAMTHILIYA YA SARAFU KUPITIA DStv

658
0
Share:

Wakati Janet analazimisha penzi, Jamila katibuka mbaya , Tito uso kwa uso na Madam Isabela , Bianca na Njoroge mipango yao inazidi kupamba moto na Jumba ana Jackie wa kupambana nae kuhusu pesa za mama yake Madam Sandra, je hatma ya haya yote itakua nini? Fuatlia Tamthilia hii Sarafu kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 ndani ya Maisha Magic Bongo 160 kwa kifurushi cha Bomba 19,000 tu.

UtamuKoleaNaMMB

(Visited 74 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us