ASSAs

MWANA FA AFUNGUKA MAPYA BAADA YA KUPATA CORONA

696
0
Share:

Mwanamuziki Mkongwe kwenye game ya Bongofleva Mwana FA amewashukuru waliomtumia salam za pole na kuelezea hali yake ya kiafya inavyoendelea toka alipogundulika kuwa amepata maambukizi ya virusi vya Corona.

Mwana FA amendika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa ”Nawashukuru kwa salamu za pole na dua ndugu zangu. Kama nilivyosema,sijisikii kuumwa tena hata,KABISA. Hata ile homa iliyonipa wasiwasi nikaenda kupima haijarudi toka jana.Malaria ina tabu zaidi ya kaugonjwa haka nawaambia. Asikutishe mtu.” Mwana FA

(Visited 71 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us