ASSAs

MEYA WA ILALA AFANYA ZIARA YA KUKAGUA UJENZI WA DARAJA LA ULONGONI ZIMBILI

566
0
Share:

Leo Machi 24 Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe Omary Kumbilamoto amefanya ziara ya kukagua Ujenzi wa Daraja la Ulongoni Zimbili unaoendelea, ambapo katika hatua ya kwanza kimejengwa kivuko cha muda.

(Visited 71 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us