ASSAs

WAZIRI MKUU WA INDIA ATANGAZA NCHI NZIMA WATU KUTOTOKA NJE YA NYUMBA ZAO

434
0
Share:

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi ametangaza lock down ya siku 21 kuanzia jana March 24,2020 ambapo hakuna Mtu anayeruhusiwa kutoka nje ya nyumba yake.

 Askari wametanda kila kona na ukitoka nje bila sababu ya msingi wanakushugulikia “njia pekee ya kuokoa maisha yetu dhidi ya corona ni kubaki ndani, hata iweje usitoke nje”

(Visited 46 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us