ASSAs

WAZIRI WA MAMBO YA KIGENI WA MAREKANI AENDELEA KUIRUSHIA LAWAMA CHINA

682
0
Share:

Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Mike Pompeo ameendelea kuirushia lawama China akisema kitendo chao cha kuficha ukweli tangu awali kuhusu ni lini corona imeanza na ilipoanzia kimepelekea janga kubwa la Dunia na Watu wengi kuwa kwenye hatari “walificha na bado wanaendelea kuficha kwa kutupakazia sisi“

“Kampeni ya kizushi iliyoanzishwa na China na sasa inaungwa mkono na Urusi na Iran kuwa Marekani imepandikiza corona China kupitia Jeshi letu ni za kupuuzwa, hivi ni virusi vya China, virusi vya Wuhan, nilisikia wanasema labda corona ilianzia Italia kifupi hawaeleweki”-POMPEO

(Visited 76 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us