ASSAs

CHIOMA WA DAVIDO ANA CORONA

540
0
Share:

Mwanamuziki Davido amethibitisha mpenzi wake Chioma ana maambukizi ya Virusi vya Corona, Kupitia mtandao wake wa Instagram Davido ameelezea kuwa aliporejea Nigeria akitokea Marekani baada ya kuahirisha onyesho lake kutokana na Mlipuko wa virusi vya Corona, mpenzi wake Chioma naye alirejea na mtoto akitokea Uingereza.

Davido anasema hawakuwa na dalili ya Corona kabisa, lakini waliamuwa kufanya vipimo kutokana na safari walizozifanya nje ya Nchi, majibu yameonyesha kuwa Chioma amepata maambukizi ya virusi vya Corona huku yeye Davido na mtoto wakiwa Salama.

Davido amejiweka Karantini kwa siku 14.

(Visited 63 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us