ASSAs

ZANZIBAR YATHIBITISHA MGONJWA MWINGINE WA CORONA

941
0
Share:

Zanzibar yathibitisha mgonjwa mmoja wa COVID-19 na kufanya idadi ya waambukizwa Tanzania kufikia 14. Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Hamad amethibitisha.

Mgonjwa huyo mwanamke raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 57 alirejea nchini akitoka uingereza na shirika la ndege la Qatar na kuifanya Zanzibar kuwa na idadi ya wagonjwa watatu wenye mambukizi ya virusi vya corona.

(Visited 113 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us