ASSAs

MKURUGENZI WA ZAMANI WA KATANI LTD AMEFARIKI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

950
0
Share:

Mkurugenzi wa zamani wa Katani Limited, Salum Shamte amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu

Agosti 2019 akiwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania, Salum Shamte alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza jipya la Biashara la SADC

Aidha, Oktoba 31, 2019, Salum Shamte pamoja na wenzake walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga

Walipandishwa Kizimbani wakikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi, utakatishaji fedha na kusababisha hasara ya Tsh. Bilioni 1.14 kwa vyama vya msingi vya ushirika (AMCOS)

(Visited 100 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us