ASSAs

CORONA:MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR AJIWEKA KARANTINI

345
0
Share:

Makamu wa pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema alilalazimika kujiweka Karantine kwa siku 14, baada ya kutoka ziara ya kikazi nchini Cuba, ambapo amesema kitendo hicho si adhabu bali ni kutii utaratibu uliowekwa na Serikali ili kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona.

Aidha Makamu huyo amewataka Watanzania wanaotoka nje ya nchi kutii agizo hilo pindi wanapoingia ndani ya nchi kwa kujitenga wenyewe kwa muda ili kukinga maambukizi hayo

(Visited 38 times, 1 visits today)
Share this post