ASSAs

ALIKIBA APATA PIGO, WASANII WAKE WATANGAZA KUJIONDOA KINGS MUSIC

1089
0
Share:

Wasanii wawili kutokea lebo ya King’s music Cheed na Killy kupitia kurasa zao wametangaza kujiondoa kwenye lebo hiyo na kwenda mtaani kuanza maisha mapya bila kusimamiwa

CHEED


Lakini kinacholeta utata ni baada ya Post zao kufanana maneno na kupelekea kuhisiwa kuwa huenda wawili hao wanatarajia kuachia wimbo MPYA

KILLY
(Visited 294 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us