ASSAs

HII HAPA IDADI YA WATU WALIOPONA CORONA NCHINI UGANDA

434
0
Share:

Wizara ya Afya Uganda imesema wagonjwa wengine wanane wa corona wamepona na kufanya idadi ya waliopona kufikia 20 nchini humo, Uganda ina visa 55 ambapo kwa sasa wagonjwa 35 wanaendelea na matibabu, 20 wamepona na hakuna kifo kilichotokana na corona.

(Visited 46 times, 1 visits today)
Share this post