ASSAs

MAREKANI:WALIOFARIKI NA CORONA WAFIKIA ELFU 52

143
0
Share:

Marekani imeendelea kuongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na corona Duniani ambapo hadi muda huu wamefariki Watu 52,217, USA inaongoza pia kwa visa, vimefikia 925,758 na wamepona 110,432, Italia vifo 25,969 na visa 192,994, Hispania vifo 22,524 na visa 219,764.

(Visited 17 times, 1 visits today)
Share this post