ASSAs

MWANA FA ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE MWAKA HUU 2020

1217
0
Share:

Mwana FA amefanya mahojiano kwenye kipindi cha XXL kinachorushwa Radio Clouds FM Jana April 27 na kueleza nia yake  ya kugombea Ubunge Mwaka huu 2020.

Kuhusu kugombea Ubunge mwaka huu 2020, Chama changu hakijaruhusu kuongea lakini ikifika muda nitasema, lakini nia ya kugombea Ubunge ninayo ila hata mambo ya kwamba Jimbo lipi nitagombea tusubiri” -Msanii Mwana FA

(Visited 239 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us