ASSAs

HECHE NENO KUHUSU SIASA

494
0
Share:

Mbunge wa vijijini (Chadema), John Heche, amesema siasa ni kanuni sio ajira wala biashara ya kutengeneza faida.

“Ukiwa kwenye siasa za mageuzi na kujenga demokrasia kuna maovu na uonevu mwingi sana unatokea hapa Tanzania.

“Jitahidi kudhibiti njaa zako uheshimike. Vinginevyo utapata sifa za muda mfupi na aibu ya milele,” aliandika Heche katika ukurasa wake wa twitter.

(Visited 41 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us