ASSAs

WAZIRI MWIGULU: UPINZANI KUSUSIA BUNGE NI MPANGO WA KUTAKA KUSHUSHA UCHUMI

922
0
Share:

Waziri wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi

Amewataka Watanzania kuacha kusikiliza ‘miluzi’ inatopotosha Taifa kwasababu kitendo cha Watanzania kujifungia ndani bila kufanya kazi kwa tahadhari ya Virusi vya Corona kama wanavyoshauri baadhi ya Wabunge wa Upinzani panaweza kutengeneza majanga mengine

(Visited 179 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us