ASSAs

DSTV YAWAPA NAFASI WATOTO KUJIFUNZA WAKIWA MAJUMBANI

908
0
Share:

Katika kipindi hiki ambacho watoto wapo nyumbani, DStv inawapa watoto nafasi ya kujifunza kupitia chaneli Pop Primary 317, Da Vinci 318 , Jim Jam , Edu Channel 316 pamoja na PBS 313 kuanzia baby class mpaka secondary.

Si masomo tu bali pia watoto watapata kufurahia katuni wazipendazo ambapo wikiendi hii
watoto wataburudika na katuni kama Dragon ball Super kupitia chaneli yao pendwa Cartoon Network 301 ambayo sasa inapatikana kupitia kifurushi cha Bomba 19,000 tu. Bila kusahau katuni pendwa ya Tom and Jerry siku ya Jumapili saa 4 asubuhi kupitia chaneli ya Boomerang 302 ndani ya kifurushi cha Family 29,000/-.

Bila kusahau ofa kubwa ya Tupo Nawe ambapo ukilipia kifurushi chako DStv tutakupandisha cha juu yake kwa mwezi mzima bila malipo ya ziada.

Lipia sasa kifurushi chako na upate burudani zaidi!
DStv Tupo Nawe!

(Visited 145 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us