ASSAs

NUKUU ZA BARNABA KUHUSU RUGE MUTAHABA

673
0
Share:

Majibu ya Barnaba kwenye show ya Homa jana Usiku, akimuelezea Ruge Mutahaba, Sasa miongoni mwa maswali aliyoulizwa kuhusu wanaosema Mpendwa wetu kuhusishwa na shtuma zisizo nzuri

“Ruge hakuwahi kuwa mwizi kama ni mwizi basi mimi nisingekuwa hapa hata sehemu ya sanaa ingekuwa hapa’- Barnaba


Hawezi kuwa bosi juu ya bosi ili uwe Boss lazima ulipwe shilingi 500 na boss abaki na shilingi 1000, kwahiyo mara nyingi vijana wengi tunataka kukaanga kwenye majukumu ya leader wakati tunataka msaada katika sehemu mbalimbali’- Barnaba


hela yake ilikuwa inazunguka kwa watu kukuza watu, kufanikisha ndoto za watu na wala sio mwizi’- Barnaba

(Visited 107 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us