ASSAs

WAZIRI UMMY MWALIMU AKANUSHA KUHUSU KUPATA CORONA

1207
0
Share:

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amekanusha taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba ameambukizwa corona, Waziri Ummy amesema taarifa hiyo haina ukweli na inapaswa kupuuzwa

“mimi kupata corona sio ajabu wala aibu, hata hivyo taarifa hii sio ya kweli, ipuuzwe” Amesema Waziri Ummy

(Visited 324 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us