ASSAs

CORONA KENYA: WAGONJWA WAPYA 23 WATHIBITIKA, MAAMBUKIZI YAFIKIA 672

Share:

Idadi ya wagonjwa wa Corona imeongezeka hadi 672 baada ya wagonjwa wapya 23 kukutwa na virusi hivyo katika kipindi cha saa 24

Kati ya idadi hiyo ya Wagonjwa wapya, wagonjwa 12 wameripotiwa kutoka Mombasa, 6 kutoka Mandera, 4 kutoka Nairobi na 1 kutoka Kajiado

Katibu Mkuu (Utawala) wa Wizara ya Afya, Dkt. Rashid Aman amesema idadi ya waliopona imefika 239 baada ya wagonjwa wengine 32 kupona

Aidha, hadi kufikia sasa sampuli 32,097 zimeshafanyiwa vipimo nchini Kenya

(Visited 27 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us