ASSAs

URUSI YAREKODI VISA VIPYA 11,656. YAWA YA TATU KWA VISA VINGI ULIMWENGUNI

773
0
Share:

Urusi imeripoti visa vipya 11,656 vilivyotokea ndani ya saa 24, na kufanya nchini hiyo kuwa na jumla ya visa 221,344 na kuwa ya tatu Ulimwenguni kwa visa vingi nyuma ya Marekani na Uhispania

Mji Mkuu wa nchini hiyo, Moscow umeathirika zaidi ukiwa umeripoti vifo 658 vya COVID19 kwa mwezi uliopita huku jumla ya vifo 2,009 vikiwa vimerekodiwa nchini humo

Baadhi ya wakosoaji na wataalam wanadai kiwango cha chini cha vifo nchini humo kinaficha idadi ya kweli ya vifo vya COVID-19 vinavyotokea

Pamoja na hayo, Urusi imeripoti kuwa jumla ya Wagonjwa 39,801 walipona. Marekani imeripoti visa 1,387,047 huku Uhispania ikiwa na visa 264,663

(Visited 90 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us