ASSAs

CORONA KENYA: MAAMBUKIZI 758

765
0
Share:

Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wapya 21 wa corona wameongezeka na kufanya idadi ya maambukizi kufikia 758 kutoka 737

“tumepima sampuli 1486 ndani ya saa 24, wagonjwa wapya ni 22 ambapo Wanaume ni 14 na Wanawake 7, mgonjwa mwenye umri mdogo ana miaka 7, mkubwa miaka 79”

(Visited 100 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us