ASSAs

VIFO VYA CORONA VYAPINDUKIA LAKI 3 DUNIANI

126
0
Share:

Vifo vya corona Duniani kote vimepindukia Laki tatu ambapo hadi asubuhi hiii jumla ya Watu waliofariki kwa kuugua corona Duniani imefikia 308,577, maambukizi ya jumla yamepindukia Million 4 na kufikia 4,583,403 huku wagonjwa waliopona wakifikia 1,718,973.

(Visited 12 times, 1 visits today)
Share this post