ASSAs

CORONA MAREKANI: VISA VIPYA ZAIDI YA 25,000 VYATANGAZWA

47
0
Share:

Takwimu za Chuo cha John Hopkins zimeonesha kuwa visa vipya 25,294 na vifo 1,263 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita

Hadi kufikia asubuhi ya leo wagonjwa 343,811 wa Corona wamepona nchini humo, huku idadi ya waliofariki ikiwa 96,465 na jumla ya visa ikifikia 1,795,587

Rais Donald Trump amesema bendera ya Marekani itapepea nusu mlingoti katika majengo yote ya Serikali pamoja na makumbusho za Taifa kwa siku tatu zijazo kuwaenzi Wamarekani waliopoteza maisha kutokana na Corona

(Visited 11 times, 1 visits today)
Share this post