ASSAs

CORONAVIRUS KENYA: VISA VIPYA 80 VYATANGAZWA, MAAMBUKIZI YAFIKIA 1,109

46
0
Share:

Idadi ya visa vya Corona nchini Kenya imefika 1,109 baada ya visa vipya 80 kuthibitishwa kutokana na sampuli 3,102 kufanyiwa vipimo

Waziri wa Afya, Mutahi Kagwe amesema mtoto wa miezi 6 ni miongoni mwa visa vilivyotangazwa leo ambapo visa 41 vimetokea Nairobi, 20 Mombasa

Kenya imeongeza uwezo wake wa upimaji kwa 40% na sampuli hiyo ni kubwa zaidi kufanyiwa vipimo nchini humo

Waziri Kagwe pia, ametangaza kuwa wagonjwa wengine 9 wameruhusiwa kutoka Hospitali na jumla ya waliopona imefikia 375. Hakuna vifo vipya na idadi ya waliopoteza maisha bado ni 50

(Visited 6 times, 1 visits today)
Share this post