ASSAs

CORONAVIRUS: MAJARIBIO YA DAWA YA HYDROXYCHLOROQUINE YAANZA ULIMWENGUNI

572
0
Share:

Wafanyakazi wa Afya Uingereza na Thailand wameanza kuhusika kwenye majaribio ya kufahamu kama aina mbili za dawa za kutibu Malaria zitaweza kuzuia Corona

Dawa hizo zinajumuisha aina ya dawa ya Hydroxychloroquine ambayo Rais wa Marekani, Donald Trump alidai kuwa anaitumia akiamini ni nzuri

Utafiti unajumuisha zaidi ya Wafanyakazi wa Afya 40,000 wa barani Ulaya, Afrika, Asia na Amerika ya Kusini, ili kujua kama zinaweza kusaidia kupambana na Corona

Uhitaji wa Hydroxychloroquine umeongezeka zaidi baada ya shinikizo la Rais Trump ambaye wiki hii alijinadi kuitumia licha ya tahadhari kutoka kwa Wataalamu wa Afya

(Visited 70 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us