ASSAs

RAPPER TEKASHI AONDOLEWA KWENYE CHATI YA BILLBOARD

47
0
Share:

Billboard wameuondoa ukurasa uliokuwa unaonesha historia nzima ya Rapper Tekashi kwenye chart hizo ikiwemo nyimbo zake zilizowahi kuingia na nafasi zilizoshika

Ni baada ya Rapper huyo kuwashambulia wiki iliyopita kwa madai ya kuchakachua chati hizo ili kuwapa namba za juu Wasanii wanaowataka wao

Alidai kufanyiwa changa la macho ili wimbo wa Ariana Grande na Justin Bieber ‘Stuck with You’ uufunike wimbo wake wa ‘GOOBA’ kwenye chati hizo licha ya kuifunika kwenye mauzo

(Visited 11 times, 1 visits today)
Share this post