ASSAs

ALIEMUOKOA MTOTO APANDISHWA CHEO

40
0
Share:

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga amempandisha cheo Danis Minja kutoka cheo cha Konstebo na kuwa Koplo, kwa ujasiri wake wa kuingia kwenye shimo la choo na kumuokoa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu katika Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera.

(Visited 13 times, 1 visits today)
Share this post