ASSAs

LALIGA KUREJEA JUNE 8,2020

38
0
Share:

Serikali ya Hispania imetoa ruhusa kwa Shirikisho la Soka nchini humo kuendelea na taratibu zote za kurejesha ligi kuanzia Juni 8, hivyo La Liga sasa huenda ikarejea kuanzia Juni 8 na kuendelea. Tayari vilabu vya La Liga vinaendelea na mazoezi.

(Visited 5 times, 1 visits today)
Share this post