ASSAs

LALIGA KURUSHA MATANGAZO YA MECHI NA SAUTI ZA KUREKODIWA ZA MASHABIKI

384
0
Share:

Mechi za LaLiga zinatarajiwa kurushwa kwenye televisheni huku zikiambatana na sauti za kurekodiwa za mashabiki kipindi ligi hiyo itakaporejea mwezi Ujao.

Ligi hiyo ambayo imesimama kwa miezi mitatu kwa sababu ya virusi vya Corona, inatazamiwa kurejea Juni 11 bila ya mashabiki.

Shirika linalohusika kuzalisha mechi hizo Mediapro limekuwa likihangaika kutafuta njia ya kuongeza mvuto kipindi mechi zitakaporudi, na sasa wameamua kuja na wazo hilo la kurekodi sauti za mashabiki na kuzitumia watakapokuwa wanarusha matangazo.

Sauti hizo za mashabiki zitachukuliwa kutoka katika mechi zilizopita ili kutengeneza mazingira sawa

(Visited 42 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us