ASSAs

MAREKANI: FLOYD MAYWEATHER KUGHARAMIA MAZISHI YA GEORGE FLOYD

535
0
Share:

Mwanamasumbwi Floyd Mayweather amejitolea kugharamia mazishi ya George Floyd aliyefariki wiki iliyopita baada ya Polisi mwenye asili ya kizungu, Derek Chauvin kumkandamiza shingoni kwa kutumia goti

Kampuni yake ya ‘Mayweather Promotions’ imethibitisha kuwa bingwa huyo mara tano wa ndondi amewasiliana na familia ya George Floyd na kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, wamekubali msaada wake

Hii sio mara ya kwanza kwa Mayweather kufanya hivyo, mwaka 2011 alijitolea kulipia mazishi ya mcheza ngumi wa zamani, Genaro Hernandez aliyefariki kutokana na maradhi ya Saratani

(Visited 67 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us