ASSAs

MAFURIKO YASABABISHA VIFO IVORY COAST

656
0
Share:

Watu 5 wamepoteza maisha katika mafuriko ambayo yametokea katika mji wa Abidjan nchini Ivory Coast.

Kulingana na taarifa kutoka Ofisi ya Kitaifa ya Ulinzi wa raia (ONPC), mafuriko yametokea kwa sababu ya mvua kubwa katika mji mkuu wa Abidjan.

Katika taarifa hiyo, ilibainika kuwa watu 5 wamepoteza maisha na mtu 1 amepotea, huku mafuriko hayo yakiwa yamesababisha maafa makubwa mjini humo.

Timu za uokoaji zinaendelea na utaftaji katika maeneo yaliyoathirika.

(Visited 72 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us