ASSAs

DODOMA: DAS WA HANDENI AFARIKI KWENYE AJALI, MBUNGE AJERUHIWA

552
0
Share:


Watu 3 wamepoteza maisha akiwemo Katibu Tawala (DAS) wa Wilaya ya Handeni, Mwalimu Boniface Maiga Jumaa baada ya gari mbili kugongana Mkoani Dodoma

Ajali hiyo imesababisha majeruhi kadhaa akiwemo Mbunge wa Handeni, Omary Abdallah Kigoda. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma, SACP Gilles Muroto amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo
Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika na uchunguzi unaendelea

(Visited 142 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us