ASSAs

MAN CITY YASHINDA RUFAA YAO YA KUFUNGIWA KUSHIRIKI UEFA

707
0
Share:

ManchesterCity itaweza kushiriki fainali ya Klabu Bingwa Ulaya (UCL) msimu ujao kufuatia adhabu yao ya kufungiwa kwa miaka miwili kuondolewa. UEFA iliifungia klabu hiyo na kutozwa faini £24.9 milioni (TZS 72.7B) Februari 2020, kwa kosa la kukiuka kanuni za matumizi ya fedha.

(Visited 91 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us