ASSAs

MADAKTARI WAUNGANA NA MANESI, WATISHIA KUFANYA MGOMO, ZIMBABWE

607
0
Share:

Madaktari wa Hospitali za Serikali nchini Zimbabwe wametishia kufanya mgomo, wakilalamikia malipo ya chini na ukosefu wa vifaa kinga (PPE) dhidi ya virusi vya corona

Wamedai inakuwa ngumu kwao kufanya kazi katika maeneo waliyopo kutokana na changamoto mbalimbali huku kukiwa hakuna suluhisho linalotolewa

Uamuzi wao kufanya mgomo unakuja wakati ambapo manesi takriban 15,000 wamekuwa kwenye mgomo kwa wiki mbili sasa kutokana na malipo yasiyoridhisha huku Nchi hiyo imerekodi visa 1,362 na vifo 23 vya corona wagonjwa waliopona ni 425

(Visited 86 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us