ASSAs

MABONDIA WARAMBA MKATABA MNONO MBELE YA PROMOTA

1841
0
Share:

Promota J, MSANGI amekabidhi mikataba ya kufanikisha mpambano wa mabondia wawili ambao ni DULLAH MBABE na TWAHA KIDUKU ameikabizi leo july 30,2020.

Amekabidhi mikataba hiyo mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa hayatt regence uliopo posta jijini DAR ES SALAAM kwa ajili ya kufikisha malengo ya mabondia wote

wadhamini wa mchezo huo pendwa wa masumbwi wameeleza nia ya kushirikiana na mabondia hao na kusema wameamua kusapoti mabondia ili mchezo huo kuweza kuwa juu na kuongeza wafatiliaji pia kufanya promotion ya kuwaleta watu uwanjani kutazama pambanao hilo.

Aidha pambano hilo lina tarajiwa kufanyika ijumaa ya tarehe 28/8/2020 katika uwanja wa uhuru ambao kwasasa unafahamika kwa jina la uwanja wa mkapa jijin DAR ES SALAAM.

(Visited 52 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us