ASSAs

MISRI YAPITISHA SHERIA MPYA YA KUZUIA WANAJESHI KUGOMBEA NAFASI ZA KISIASA

247
0
Share:

Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi amepitisha sheria inayozuia Wanajeshi na waliokuwa Wanajeshi kugombea Urais, Ubunge au kujiunga vyama vya siasa bila ridhaa kutoka Baraza la Juu la Jeshi

Sheria hiyo inadaiwa kuwa inalenga kulinda Urais wake dhidi ya waliokuwa Wanajeshi, ikikumbukwa kuwa Rais huyo naye aliwahi kuwa Kamanda wa Jeshi

Wanaharakati na Wanasheria mbalimbali wamekosoa mabadiliko hayo ya kisheria huku Mamlaka zikisema mabadiliko hayo yanalenga kuimarisha utunzaji wa siri za Taifa hilo

(Visited 33 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us