ASSAs

CORONA: MEXICO INAKUWA NCHI YA TATU KWA VIFO VINGI DUNIANI

36
0
Share:

Mexico inakuwa nchi ya 3 kurekodi vifo vingi zaidi Duniani vya Corona Virus nyuma ya Brazil na Marekani baada ya waliofariki dunia kufikia 46,688

Wizara ya Afya imetangaza ongezeko la visa vipya 8,458 na vifo 688 katika saa 24 zilizopita na maambukizi yamefikia 424,637 huku wagonjwa waliopona wakiwa 278,618

Serikali ya Mexico inasema kuna uwezekano idadi halisi ya maambukizi ni kubwa kuliko takwimu zinavyoonesha

(Visited 5 times, 1 visits today)
Share this post