ASSAs

CORONA VIRUS BOTSWANA: MJI MKUU WAFUNGWA KWA WIKI 2

42
0
Share:

Mji Mkuu wa Botswana, Gaborone umefungwa tena kwa muda wa siku 14 kudhibiti ongezeko la maambukizi ya COVID19

Katika Mji huo na maeneo jirani, watumishi wa sekta muhimu pekee ndio wataruhusiwa kutoka nyumbani na kwenda kazini huku wengine wakitoka kwa ajili ya kununua mahitaji pekee

Mikusanyiko yote imepigwa marufuku na imeelezwa kuwa hoteli, migahawa, sehemu za kufanya mazoezi pamoja na Shule zitafungwa

Tangu kuanza kwa mlipuko huo, Botswana imerekodi visa 804 na vifo 2 huku wagonjwa 63 wakipona

(Visited 10 times, 1 visits today)
Share this post