ASSAs

KUMBILAMOTO AKABITHI MADAWATI KWA SHULE YA SEKONDARI

64
0
Share:

Siasa za Mbuli Kumlomo hazina nafasi zama hizi za Mh Rais Dr John Pombe Joseph Magufuri nikiwa ktk hafla ya kukabidhi madawati 25 niliyomuomba Rafiki yangu Mohammed miezi mitatu iliyopita kwa ajiri ya watoto wa shule ya

Msingi Mtakuja hapa Vingunguti niipongeze kamati ya shule iliyokuwa ikinikumbusha kila wakati juu ya ahadi hiii nimshukuru sn dada yangu Khijja Makamo M.kiti wa hii kamati kwa kunisumbua juu ya utekelezaji

wa ahadi hii hatimae imetimia lengo ni kuleta ufanisi wa masomo kwa watoto wetu Tukutane site kazi zinaongea zenyewe.

(Visited 16 times, 1 visits today)
Share this post