ASSAs

CHAMA CHA NCCR KUFANYA MKUTANO MKUU LEO

1079
0
Share:

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Taifa James Mbatia akifungua rasmi mkutano mkuu wa chama hicho unaofanyika Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi waliowasili katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam kushiriki mkutano mkuu wa chama hicho utakaoteua wagombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar

(Visited 210 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us