ASSAs

BAYERN WATWAA KOMBE LA UEFA SUPER CUP

311
0
Share:

Mabingwa wa UEFA Champions League FC Bayern Munich ya Ujerumani leo wamewaonesha Ubabe Mabingwa wa Europa League club ya Sevilla FC kutokea Hispania katika mchezo wa fainali wa UEFA Super Cup.

Thomas Muller mchezaji bora wa mechi

Mchezo huo uliochezwa Budapest Hungary umemalizika kwa FC Bayern Munich kuwa Bingwa wa Kombe hilo kwa kuifunga Sevilla magoli 2-1 mchezo ambao ulilazimika owenda dakika 120 ili kupata mbabe.

(Visited 69 times, 1 visits today)
Share this post