ASSAs

MAFURIKO DAR: “HALI YA JANGWANI BAADA YA MVUA/ SINZA HAKUPITIKI/MADUKA YAMEFUNGWA”

408
0
Share:

Mvua kubwa zinazoedelea kunyesha katika jiji la dar es salaam zimesababisha maafa makubwa katika baadhi ya maeneo mengi yakiwemo ya biashara pamoja na maeneo ya usafiri kutokana na maeneo hayo mengi kukumbwa na adha ya mafuriko..

(Visited 72 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us