ASSAs

INASIKITISHA, MABWENI YA SHULE YA SEKONDARI LORETO GIRLS MWANZA YATEKETEA KWA MOTO.

1021
0
Share:

Baadhi ya mabweni ya Shule ya Sekondari Loreto Girls iliyopo jijini Mwanza, usiku wa jana, Novemba 22, 2020 yameteketea kwa moto uliozuka kuanzia majira ya saa moja usiku wakati wanafunzi wakiwa kwenye bwalo la chakula.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa hakuna majeruhi wala vifo vilivyosababishwa na tukio hilo.

@lemutuz_tv @lemutuz_superbrand
#lemutuzUpdates

(Visited 232 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us