BILIONEA JACK MA APOTEA

Bilionea wa China, Jack Ma ambaye ni mmliki wa kampuni kubwa ya biashara duniani ya Alibaba Group inasemekana hajulikani alipo baada ya kutoonekana hadharani kwa zaidi ya miezi miwili sasa.
Aidha, alishindwa kuhudhuria onesho lake mwenyewe la ‘Africa’s Business Heroes,’ lililofanyika Novemba 2020, na aliwakilishwa na mmoja wa wakurugezi wa Alibaba Group.
Oktoba 24 alitoa hotuba na kukosoa mfumo wa kisheria wa nchi ya China akidai kuwa unakwamisha ubunifu.
(Visited 112 times, 1 visits today)