ASSAs

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO TAREHE 22/2/2021

38
0
Share:

Chelsea imeripotiwa kuanzisha mazungumzo na Bayern Munich kuhusu mpango wa kumsajili beki wa Bayern Munich Niklas Sule kwa dau la £25.9m. (Fichajes, via Caught Offside)

Afisa mkuu mtendaji wa klabu ya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amethibitisha kwamba klabu hiyo itaongeza kandarasi ya Sule, lakini hilo litategemea hali yao ya kifedha. (Football London)

Aliyekuwa mkufunzi wa Leicester na Watford Nigel Pearson anakaribia kuchukua ukufunzi wa klabu ya Bristol City baada ya mazungumzo na klabu hiyo ya ligi ya daraja la kwanza. (Bristol Post)

karl Heinze Rummeniga

Manchester United inafikiria kuwasilisha ombi la kumnunua kipa wa AC Milan na Itali Gianluigi Donnarumma, 21. (Fichajes, via Team Talk)

Crystal Palace inamchunguza beki wa kati wa Juventus na Romania mwenye chini ya umri wa miaka 21 Radu Radu Dragusin, 19, ambaye pia amehusishwa na uhamisho wa Tottenham na Newcastle. (Corriere dello Sport, via Sport Witness)

Hatahivyo, Dragusin anatarajiwa kuongeza kandarasi yake na Juventus inayokamilika mwisho wa msimu. (Football Italia)

Liverpool huenda ikampeana kiungo wa kati wa Japan Takumi Minamino, 26, kwa mbadala wa winga wa Sevilla na Argentina Lucas Ocampos, 26. (La Razon, via Star)

Minomino

West Ham huenda ikakabiliana na AC milan katika msimu wa joto kumsajili mshambuliaji wa Sevilla na Morocco Youssef En-Nesyri, 23. (Il Milanista, via Sport Witness)

Mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala, 27, anatarajiwa kuanza mazungumzo mapya na Juventus katika kipindi cha siku chache zijazo. (La Stampa, via TuttoJuve)

Kipa wa Brighton Robert Sanchez, 23, ambaye anaweza kuichezea Uhispania au England , amepatiwa kura ya kuwa na imani naye na kipa anayemuenzi Iker Casillas, mchezaji wa zamani wa Uhispania . (Argus)

Paulo Dybala
(Visited 4 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us