ASSAs

MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMUYU ENOCK YAKOBO AFARIKI DUNIA

398
0
Share:

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo, amefariki dunia, taarifa iliyotolewa leo Februari 23, na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Simiyu, Mayunga George, imeeleza kuwa Mwenyekiti huyo amefariki leo asubuhi.

(Visited 94 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us