ASSAs

TETESI ZA SOKA ULAYA LEO TAREHE 13/4/2021

89
0
Share:

Klabu za Paris St-Germain, Real Madrid na Inter Milan zinamfuatilia winga Jesse Lingard tabla ya dirisha la usability halijafunguliwa mwishoni mwa msimu. Lingard, 28, anang’ara kwa sasa ambapo anachezea klabu ya West Hamkwa mkopo akitokeaManchester United. (ESPN)external-link

Arsenal wangali na nia ya kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Celtic Odsonne Edouard
Maelezo ya picha,Arsenal wangali na nia ya kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Celtic Odsonne Edouard

Arsenal wangali na nia ya kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Celtic Odsonne Edouard,23, lakini wanakabiliana na ushindani kutoka Leicester. (Telegraph – subscription required)external-link

Manchester United wanasita kuingia katika mazungumzo na klabu ya Borussia Dortmund ya usajili wa mshambuliaji raia wa Norway Erling Braut Haaland, 20, baada ya kushindwa kuafikiana bei nafuu kwa mchezaji mwengine wa timu hiyo, Jadon Sancho mwishoni mwa msimu uliopita. (The Athletic – subscription required)external-link

Jadon Sancho
Maelezo ya picha,Jadon Sancho

Licha ya kushindikana kea mazungumzo hayo, Manchester United hata hivyo hawajafunga milango juu ya uwezekano wa kumuwinda tena Sancho mwishoni mwa msimu huu. (Manchester Evening News)external-link

Manchester United wamehuisha nia yao ya kumsajilili kiungo wa Lazio Sergej Milinkovic-Savic, 26. Kiungo huyo pia anafuatiliwa na Real Madrid na PSG.(Gazzetta – in Italian)external-link

Tottenham wanajiandaa kumsajili beki wa Bayern Munich Jerome Boateng(kushoto)
Maelezo ya picha,Tottenham wanajiandaa kumsajili beki wa Bayern Munich Jerome Boateng(kushoto)

Tottenham wanajiandaa kumsajili beki wa Bayern Munich Jerome Boateng, 32. Beki huyo wa kati ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu. (Sky Germany – in German)external-link

Tottenham wataelekeza nguvu katika kuimarisha safu yao ya ulinzi mwishoni mwa msimu, lakini itawapasa kwanza wawauze baadhi ya wachezaji wao ili kupata pesa za kusajili mabeki bora. (Mail)external-link

Fikayo Tomori
Maelezo ya picha,Fikayo Tomori

AC Milan wana nia ya kumsajili moja kwa moja beki wa kati Fikayo Tomori, 23, ambaye anaichezea klabu hiyo kwa mkopo akitokea Chelsea. (Corriere dello Sport, via Sport Witness)external-link

Juventus wanampango wa kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Ousmane Dembele, 23, mkataba wake utakapoisha 2022. (Mundo Deportivo – in Spanish)external-link

(Visited 18 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us