ASSAs

DAVIDO AJIZAWADIA GARI YA THAMANI AINA YAROLLS- ROYCE

687
0
Share:

 Nyota wa Muziki kutokea Nchini Nigeria David Adeleke Maarufu kama Davido ameamua kujizawadia Gari Mpya Aina ya Rolls-Royce Cullinan 2021

“Tunafanikiwa kutokana na kusaidia wengine lakini usiache kujizawadia mwenyewe. Nimejipatia Rolls Royce yangu ya kwanza, nawashukuruni nyote” ✍️… Ameandika #OBO Kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuambatanisha Picha pamoja na video clip inayomuonyesha akiwa kwenye gari hilo la Kifahari #RollsRoyce huku akionyesha Jeuri ya Pesa

(Visited 185 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us