ASSAs

DIAMOND PLATNUM ANUNUA GARI JIPYA AINA YA CADILLAC ESCALADE BLACK EDITION 2020

443
0
Share:

Staa wa Muziki Barani Afrika Diamond Platnumz amenunua gari nyingine aina ya Cadillac Escalade Black Edition 2020 Mpyaaa Kutoka kwenye Maganda yake .

Hii inakua ni Cadillac Escalade ya pili kwa Diamond Platnumz kununua ndani ya Miezi Miwili ukiachana na Ile ya Kwanza iliyovuja mitandaoni Wiki kadhaa zilizopita kuwa amenunua kwa mtu .

Cadillac ni Gari ambazo Wanamuziki wengi mabilionea wa nchini Marekani wanapenda kuzitumia , Pamoja na Marais wa nchi hiyo, hivyo ili uweze kuinunua unahitaji uwe na Mfuko uliotuna Haswaaa !!

(Visited 117 times, 1 visits today)
Share this post

Contact Us